가사

The first thing nataka tununue dunia Tuishi mimi na wewe dear Wengine twawafungia Vingine malizia Nikupe mapenzi mpaka wewe uogope Jiachie nataka nikupe vyote Kwenye dunia hivi vingine Si lolote mama mama mama Basi me nielewe Hakuna mimi bila wewe Ukinizingua wewe Nitakuwa chizi unielewe I don't care, wakisema ni malaya I don't care, wakikusema vibaya Baby mimi, I don't care I don't care, wakisema ni malaya I don't care, wakikusema vibaya Baby mimi, I don't care I don't care I don't care I don't care I don't care I put a ring on your finger Kama unaringa ringa Hakuna wa kukupinga Wewe kiboko yao Vyenye uko cool Venye uko humble na mapenzi yako juu Mie roho juu mmm What's kind of love Asa mbona unakipinda pinda Vile unanitreat kama kinda kinda Mimi nimekubali nimeshindwa, shindwa Mahaba yamwagika nayakinga yooh Basi me nielewe Hakuna mimi bila wewe Ukinizingua wewe Nitakuwa chizi unielewe I don't care, wakisema ni malaya I don't care, wakikusema vibaya Baby mimi, I don't care I don't care I don't care I don't care I don't care Asa mbona unakipinda pinda Vile unanitreat kama kinda kinda Mimi nimekubali nimeshindwa, shindwa Mahaba yamwagika nayakinga Yooh
Writer(s): Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out