가사

Your now listening to the sound of the quest Yeah Yeah, yeah (Bad mass) Aah (Black market records) Pakistan tuna vuta mabidha Tume sota hapa area na taki ya guitar Side chick ameanza kuniita cheater Sponsor actually bana tuma mita Confirm you have received Wacha niende quarter, received Sikulangi mbonga received Na penda ma light skin (sawa confirm) Your have received? Wacha niende quarter received Sikulangi mbonga received Na penda ma dark skin (sawa) Ring ring confirm ume receive Fuliza kidogo kisha nitoa kwa fom Uliza dere alini show anakuja home Anadai fare kutoka Kasa sina doo Hauna doo? Na unadai kuteka Shiro Wakikuyu hao hupenda wababa wako na doo Na after yako ni worse kushinda before Iliamka aka kuboo ika lala fofo Fofo Harry akona kitu four soo nakushow Na mbogi yake yote inadai kuja show Wanaume soo wote wanadai tiko Oh oh oooh sina hio doo sichome hivyo Aah na sipendi hizo fom Mandume watatu wasichana wako? Confirm simu zote leo ziko off Ah tukunywe makonyiriro Confirm you have received Wacha niende quarter, received Sikulangi mbonga received Na penda ma light skin (sawa confirm) Your have received? Wacha niende quarter received Sikulangi mbonga received Na penda ma dark skin (sawa) Yeah Sijui nifike bei ya dema? Na pombe ina eza liquor Alisema "bora kuna liquor" Si tuna ka-ka-katika Huh manzi ni nganya Doo na pesa na weza mpika You have received kumbe pochi inaweza lipa Pesa kidogo mmmh Very nice (mmmh) Tuma pounds I date foolish sipendi wise (mmmh) Come slow hunishiki bila doo Kama hubanji ganji sioni (yeah) vile nita minimize Aah minimize ka pochi juu ya badaye Haezi chill na mbogi haina ice Kama mali ni bobi who am I? Walinipata na dobi kwa ndae Nikiwasha lyta chain ina mchoma kwa macho Nikiwasha ndae anadai twende Vasho Kiuliza gede anasema ilikua vako Ka ten over ten na kalipata E ma Confirm you have received Wacha niende quarter, received Sikulangi mbonga received Na penda ma light skin (sawa confirm) Your have received? Wacha niende quarter received Sikulangi mbonga received Na penda ma dark skin (sawa) Pakistan tuna vuta mabidha Tume sota hapa area na taki ya guitar Side chick ameanza kuniita cheater Sponsor actually bana tuma mita (Confirm)
Writer(s): Brian Salaton, Joseph Nyamweya, Moses Otieno, Odi Wa Muranga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out