가사

Kuna muda machozi hayaniishi Huzuni haikatiki hata Napo jaribu kutembea naona sifiki Maumivu na changamoto hazikwepeki Imani yangu najua wakati wangu upo Kama walipata wengine nami nitapata pengine,sikati Tamaa napambanaaa Acha Leo wanicheke nikitafuta sipati Na hata Mimi nichelewe hapa sitabaki (Aah eeh) I need success in my life Mungu anibless in my life mmmh more Blessings in my life viwango vingine I need success in my life Baba unibless in my life more blessings Testimony lazima nifanikiwe Eeh eeh aah eeeh aah lazima nifanikiwe
Writer(s): Walter Chilambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out