album cover
Asante
1,432
Christian & Gospel
Asante은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2023년 5월 20일일에 2962482 Records DK에서 발매되었습니다.Zawadi
album cover
앨범Zawadi
발매일2023년 5월 20일
라벨2962482 Records DK
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM160

크레딧

작곡 및 작사
PAUL CLEMENT
PAUL CLEMENT
작사가 겸 작곡가

가사

[Verse 1]
Sijui unanilindaje, unanitunzaje
Sijui mimi (Eeh)
Sijui unanitunzaje, unanivishaje
Sijui mimi
[Verse 2]
Nachojua kuwa ninalindwa na nguvu zako
Ninatunzwa na neno lako, kivipi sijui, mimi sijui
Maana umesema mtu hatoishi kwa mkate tu
Bali kwa kila neno litokalo kwenye kinywa chako
Kumbe ni wewe tu usiye acha mguu wangu usogezwe na mwovu
[PreChorus]
Hulali wala usinziiii, kwa ajili yangu
Huzimiii wala huchoki kwa ajili yangu
Kwa nini nisiseme
[Chorus]
Asante kwa yote Mungu wangu (Ya kushukuru)
Ninayo ni mengi (Umetenda) umefanya
Kwa nini nisiseme
Asante kwa yote Mungu wangu (Ya kushukuru)
Ninayo ni mengi (Umeyafanya) umefanya
[Verse 3]
We Kyala ulinamaka mabegani mwako umenibeba
Hata sasa wewe ni Ebenezer kwa nguvu umekuwa ni msaada
Mimi ni yu yule yule mkoma nimekuja na lile neno moja
Asante hilo ndilo nalosema maana ndilo lililo ndani yangu (Mmh)
Nikisema yote uliyoyafanya sitayamaliza
Maana ni mengi sana zaidi ya mchanga sitayamaliza
[PreChorus]
Hulali wala usinzii kwa ajili yangu
Huzimii wala huchoki kwa ajili yangu
Kwa nini not siseme
[Chorus]
Asante kwa yote Mungu wangu (Ya kushukuru)
Ninayo ni mengi (Ni mengi) umefanya
Bwana kwa nini nisiseme
Asante kwa yote Mungu wangu (Ya kushukuru)
Ninayo ni mengi (Mengi) umefanya
Kwanini nisiseme
Asante kwa yote Mungu wangu (Ya kushukuru)
Ninayo ni mengi umefanya
Written by: PAUL CLEMENT
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...