album cover
Inalipa
7,956
크리스천
Inalipa은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2024년 3월 15일일에 OSPO MUSIC GROUP에서 발매되었습니다.Inalipa - Single
album cover
발매일2024년 3월 15일
라벨OSPO MUSIC GROUP
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM87

크레딧

실연 아티스트
Joel Lwaga
Joel Lwaga
실연자
작곡 및 작사
Joel Lwaga
Joel Lwaga
작사가 겸 작곡가

가사

[Verse 1]
Zamani sikueleweka na wengi
Hasa ndugu na rafiki wa karibu, utani
Walidhania ni utani nilipowaeleza Yesu ndiye jibu
[Verse 2]
Wengine wakanisanifu
Kwa maswali ya kejeli na dharau
Kwamba kama Yesu ndiye jibu
Mbona maisha yangu yamejaa maswali
[Verse 3]
Ni kweli kwa wakati huo huenda walikuwa sahihi
Maana hali niliyokuwa nayo isingeweza kabisa kushawishi
[PreChorus]
Wengi walidhani napoteza muda
Wengi walidhani nimechanganyikiwa
Wengi walidhani napoteza muda
Wengi walidhani nimechanganyikiwa
[Chorus]
Jamani inalipa, kuwa na Yesu
Mwenzenu imelipa kuwa na Yesu
Jamani inalipa, kwa na Yesu
Oneni imelipa kuwa na Yesu
[Verse 4]
Mara mia hapa mara mia kule
Haikuwa hadithi ya bure
Amefidia hata na muda ule
Ulioliwa na madumadu na nzige
[Verse 5]
Wako wapi tena watesi wangu
Wako wale walionidharau
Mko wapi tena watesi wangu
Njooni muonje wema wa Yesu wangu
[PreChorus]
Wengi walidhani napoteza muda
Wengi walidhani nimechanganyikiwa
Wengi walidhani napoteza muda
Wengi walidhani nimechanganyikiwa
[Chorus]
Jamani inalipa, kuwa na Yesu
Mwenzenu imelipa kuwa na Yesu
Kweli inalipa, kwa na Yesu
Oneni imelipa kuwa na Yesu
[Chorus]
Jamani inalipa, kuwa na Yesu
Oneni imelipa kuwa na Yesu
Kweli inalipa, kwa na Yesu
Mwenzenu imelipa kuwa na Yesu
Written by: Joel Lwaga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...