album cover
Single
album cover
Single은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2018년 6월 8일일에 EMC에서 발매되었습니다.Single - Single
2018년 6월 8일
라벨EMC
BPM95
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

Miaka ishirini na tatu sasa Lava nimekuwa si mtoto tenaa
Nishapitia mingi mikasa na nimeshajua lipi baya na jemaa
Wazazi wanauliza kutwa wanapanda juu
Laiti kabla hawajakufa waone wajukuu
Na mitandaoni kukikucha mashabiki uh-uh
Mbona unatuyeyusha vipi shemeji? We ndo kipenzi cha walimbwende tunaona
Insta yako DM imenona, unapendwa wadada kila kona tunaona
Uwe na show Nachingwea, Musoma, wanakuja kwa wingi mbona
Na mabusu unapigwa tunaona, tunaona, mpaka unazimia vipi?
(Nipo single), wanauliza vipi? (Nipo single)
Wanauliza vipi? (Nipo single), eh wanauliza vipi? (Nipo single)
Mbona nipo single?
Mashabiki wengine visirani hawana dogo
Wakikuandama jamani, hukuzodoa zodoo
Eti, mwangalie Rayvanny yake mikogo
Anaringa na mama Jaydan hawataki shobo
Eh, na wengine uniambia jogoo hapandi mtungi
Ona wakina Rukia na kina Mbosso Kirungi
Achaga masihara Harmonize anajimwaga na Sarah mh
Jitahidi tafadhali upate yeyote eh
Kaza usiwe fala, zichange hizo gwaragwara
Mmiliki Hamisa na Zari Kachibu Dangote
We ndo kipenzi cha walimbwende tunaona Insta yako DM imenona
Unapendwa wadada kila kona tunaona
Uwe na show Nachingwea, Musoma, wanakuja kwa wingi mbona
Na mabusu unapigwa tunaona, tunaona, mpaka unazimia vipi?
(Nipo single), wanauliza vipi? (Nipo single)
Wanauliza vipi? (Nipo single), eh wanauliza vipi? (Nipo single)
Mbona nipo single?
Written by: Akeem Ryan, Brandon Villafana, Dale Ryan, Emmanuel Rudder, Orlando Octave
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...