Songteksten

Ilikuwa inakuumaga ukiniona naye
Ilikuwa inakuchomaga mwanaume wewe
Ulitamani wewe ndo uage mie
Ndo maana nilivyo muacha ukaamua umuoe
We hauna, we hauna
Hauna moyo kabisa, hauna
We hauna, we hauna
Ulumagiki hata kulika
Hauna, uh wewe
Alivopika chakula, ulikuwa wakaa jikoni sikujua ni kwanini, nilijua ushemeji tu
Kumbe kule mlikua mnayapanga ya kwenu nyinyi
Mpaka umemteka umekua gaidi juu
Nimekubali, nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji oh
Nimekubali, nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji aah
Shemeji eeh
Shemeji, shemeji eeh
Kila upande shemeji eeh
Shemeji, shemeji eeh, kishingo upande
Mara oh tunaendana unaomba tusije kuachana
Eti Unatupendaga sana kumbe ulinichora
Kumbe nyuki mwenye laana
Kaniacha manundu ya machana nilivyo beep, kapiga tu mapema ukasepa na sinyora
Kama masihara umemvisha na shela
We mwana ni mbaya oh ni mbaya
Sijui ulimpa dawa au ndo hela
Ila yote sawa mi nasema inshallah Mungu atalipa aah
Alivyopika chakula, ulikuwa wakaa jikoni, sikujua ni kwanini, nilijua ushemeji tu
Kumbe kule mlikua mnayapanga ya kwenu nyinyi
Mpaka umemteka umekua gaidi juu
Nimekubali, nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji oh
Nimekubali, nimekubali
Nimekubali, nitamwita shemeji aah
Shemeji eeh, shemeji-shemeji eeh
Kila upande shemeji eeh, shemeji-shemeji eeh kishingo upande
Nimekubali ii, nimekubali, nimekubali ye ye yeyeyee, nimekubali, nimekubalii aah ooh ah
Written by: Aslay
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...