Songteksten

Naamini we ni wangu mke wangu Nimemiss kukuona kwangu kipenzi changu Nitaficha wapi sura yangu Kwa walimwengu We ndo msiri wangu kipenzi changu Maiyo Chaguo langu ni wewe si unajua mamaa Ukiniacha mwenyewe utaniumbua sanaa Tulipotoka ni mbali si unajua mama eh Katikati ya safari utaja niua bwanaa Wewe na mimi baby tuzikwe wote Nife uniokote nikuokote Sasa kwa nini unaruhusu nichekwe Mkono kaunyea mtoto usiukate Samahani Waiter ongeza glass Eh muhudumu ongeza glass Mmhh Samahani Waiter ongeza glass Eh muhudumu ongeza glass Acha nilewe nilewe tuu Eh nilewe nilewe tu Acha nilewe nilewe tu Nilewe nilewe tuu Nimekuwa mchafu tangu uniache wewe Nakula kwa shida sababu napika mwenyewe Wananiita mkangafuu silali mpaka nilewe Fanya urudi baby nitakufa bure Kosa gani lisilo sameheka baby Niamini nimejirekebisha baby Jirani mama shani anavyokukumbuka baby Rudi nyumbani mumeo ninakuita baby Wewe na mimi baby tuzikwe wote Nife uniokote nikuokote Sasa kwanini unaruhusu nichekwe Mkono kaunyea mtoto usiukate Samahani Waiter ongeza glass Eh muhudumu ongeza glass Samahani Waiter ongeza glass Eh muhudumu ongeza glass Acha nilewe nilewe tuu Eh nilewe nilewe tu Acha nilewe nilewe tu Nilewe nilewe tuu Eh nilewe nilewe tu Acha nilewe nilewe tu Nilewe nilewe tuu
Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out