Songteksten

Message zako nimeziona Ati umechoka visa vyangu Ohh mama aaah Mbona unakufuru Mungu Si ungesema kama umechoka penzi langu Oh mama nijitakatae Ale tate nane Hutaki hata tuonane Vibaya hivyo oh mama Oh tate nane Unapenda tufokeane Vibaya hivyo ooh mwana Nakuonaga tu snapchat Au Insta picha ukiposti Ni block basi mama nisikuone Anakujaga tu ibilisi Natamani kwenda kwenu kushtaki Maneno yako yanafanya ninyong'onye Sababu nakupenda sana Ndo maana unafanya visa niumie Mwenzako bado mi kijana Nahitaji fursa nipe nitulie Kamoyo kanaenda mbio Nakaribia kukata roho Mwanzako sina kimbilio ndo ushanipiga KO Nipunguzie adhabu basi Eeeh eeh Unipe likizo tu Mi bado nakupenda mama Unipe likizo tu Ona unadhulumu yangu nafsi Unipe likizo tu Utaniua mama aaah Unipe likizo tu Za chini ya kapeti nimepata habari umetolewa posa Inamaana hunitaki umepata kibosile kinakupa mapesa (eeh) Kwangu ulifuata kiki uliishi na mimi kusafiria nyota eeeh Kweli kisichoridhiki hakiliki Ona unavyonitesa Kwenye harusi nitakuja Nione walivyokupamba mamaaaa Ninajua itaniuma ila nitajikaza sana Nitaleta na zawadi nitampa mkono jamaa Kisha sitokaa sanaa nitaanza ondoka mama Hali tate nane Hutaki hata tuonane Vibaya hivyo oh mama Oh tate nane Unapenda tufokeane Vibaya hivyo ooh mwana Nipunguzie adhabu basi, ehh Unipe likizo tu Mi bado nakupenda mama Unipe likizo tu Ona unadhulumu yangu nafsi Unipe likizo tu Utaniua mama, mamaa Unipe likizo tu Mola nipe subira Nitampata kisura Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe Mola nipe subira Nitampata kisura Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out