Songteksten

(This one is a banger) Ahaahahaha Jeshi, awiii! (Daxo Chali) Anajiko, anajikosha Anajikoo, anajikosha Anajiko, anajikosha Anajikoo, anajikosha Jumamosi kakesha analewa Jumapili kanisani, anajikosha Eti sipendi vya kupewa Bango analipa shabani, anajikosha Shoga jana nilinoga Na nywele yako umetisha, anajikosha Nimesharudi naoga Jioni nitairudisha, anajikosha Kwanza hata usitume tena Tayari nishazila, anajikosha Hasa baby nitakula nini Zilikuwaga ni hasira, anajikosha Penzi bichi makele bwana Nimehama nipo mbweni, anajikosha Tena huku ni baridi sana Huhitaji hata feni, anajikosha Awii, awaaa Awii, awaaa Awii, awaaa Awii Asa lelele, lelele lelelelee Lelele lelelelee Tuimbe tena, lelele lelelelee Lelele lelelelee Anajiko, anajikosha Anajikoo, anajikosha Anajiko, anajikosha Anajikoo, anajikosha Baby baby umeniweza kwa bedi Simkumbuki Juma wala Mohamedi Ila mbona simu yake sasa Hataki nijue password, anajikosha Nitanyoosha chuma Pengine shida mtandao, anajikosha Nikipiga kwa watoa huduma Maelezo ni kibao, anajikosha Mi siwezagi za kucheza cheza Na mshipa ngiri, anajikosha Mara ghafla kaihama meza Anakimbia ya pili, anajikosha Hio ndinga ilikamatwa Nikampa leseni, anajikosha Kumbe aliena kuvimba Tabata Na kademu pembeni, anajikosha Awii, awaaa Awii, awaaa Awii, awaaa Awii Asa lelele, lelele lelelelee Lelele lelelelee Tuimbe tena, lelele lelelelee Lelele lelelelee Anajiko, anajikosha Anajikoo, anajikosha Anajiko, anajikosha Anajikoo, anajikosha Yebo, yebo, yebo
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out