Songteksten

Mmh hahaha Ye ye Mmmh aaah aahhh Sounds by abbahaaa Kwetu situnasherehe Mapenzi, sio makasiriko ah haa Kwetu ni fuhara tele Maana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh Hata kama tukishindia tembele Ooh! My love Baba mwenye nyumba kodi apige kelele Ooh! My love Hata kama tunapanda dala dala Mi nawe my love Et chetu chumba kina mavyombo tele Inahusu? Wala sidhani kama hunipendi Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh Mwenzako najua kamaa unanipenda Umeniweka moyoni Ila nawaza usipokuwepo ntaishije Ndo ninaogopa (aah) Aah aah aaaah naogopa Aah aah aaaah naogopa Aah aah aaaah naogopa Aah aah aaaah naogopa (yao yao) Hivi hushangai napendwa Ila sura bado inakosa nuru Yani najiona sipo huru Napagawaa Siku sinavyozidi kwenda Najiona kabisa nitakufuru Maana naishi ka-kunguru Kutwa kuzificha mbawaa Ridhiki yangu a papatu papatu Mara nilipe vikoba upatu Vipi ukija kutamani vya watu Mimi si utaniacha Ukiachilia mbali mashindao Wanaonizidi pesa muonekano Si lazima nikutajie mifano Niahidi kama utayaweza mapambano Icho ndo kinanipa mawaza Nikikupost biashara matangazo Sintoweza kukuechunga Mbele za wenye mipunga Mmh mmmh mmmh baby (Abee) What can I do? Baby, I no go let you go And I want you more Oh wooh wooh wooh baby (Abee) What can I do? Baby, I no go let you go And I want you more Mwenzako ooh Aah aah aaaah naogopa Kweli mwenzako naogopa Aah aah aaaah naogopa Baisi kiota changu kiona choyo Aah aah aaaah naogopa Maana wasije nichoma mkuki wa moyo Aah aah aaaah naogopa Na na na na hi aah Konde boy call me number one Bahkresa Mimwenzako naogopa aah Aah aah mmh mmh aaah (Tshi)
Writer(s): Omary Ally Mwanga, Sweetbert Charles Mwinula Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out