Songteksten

Leo nakula kwa macho Nguvu ya kusema sina Maneno ya mipasho Na jeuri vimeshazima Nilishafuta namba zako Nikachoma picha zako Sikujali ulivyolia Mbele ya mashoga zako Nikasema uende zako Nguo nikakutupia Na zaidi uliuguza vindonda Kwa vipigo manyanyaso kila siku Kwa mawazo ukakonda Niko bussy kuchiti Nafungua zipu Ulinibembeleza nikakubeza Unanuka na nikatukelekeza Macho makengeza miguu ya pweza Kuwa nawe nkasema niliteleza Leo unapendeza wamekutengeneza Wanaume wenye mali wenye fedha Sasa unajiweza na siwezi kujikweza Najutia nafasi kuipoteza Leo aibu yangu Ex boyfriend Ex boyfriend Ex boyfriend Siiti tena honey baby jina langu limekua Ex boyfriend Ex boyfriend Ex boyfriend Sikujua kumbe tabu peke yangu naugua Nawaza nilifeli wapi kusema sikutaki Sura ya baba na kitambi cha makapi Sasa unamtanashati bitozi tena smart Mtu wa gym tena ana six-pack Mi nipo juu ya bati Sina mikakati Ghetto mwendo chai na chapati We ushahama mburahati Una nyumba masaki Mnachoma nyama kila siku party Ushanipiga mikuki aah Insta mi sifurukuti aah Mambo ya gauni suti aah Mkifanya photoshoot aah Mapenzi hayana commando Mwenzako unaniuma roho Natamani nikuite njoo Turudi kama before Kumbe shape ilijificha kwenye dera Hizo skin-jeans mama zinakera Utaniletea kadi kwenye machela Siku wakikuvalisha shela Na ulinibembeleza nikakubeza Unanuka na nikakutelekeza Macho makengeza miguu ya pweza Kuwa nawe nkasema niliteleza Leo unapendeza wamekutengeneza Wanaume wenye mali wenye fedha Sasa unajiweza na sio najikweza Najutia nafasi kuipoteza Leo aibu yangu Ex boyfriend Ex boyfriend Ex boyfriend Siiti tena honey baby jina langu limekua Ex boyfriend Ex boyfriend Sikujua kumbe tabu peke yangu naugua
Writer(s): Raymond Mwakyusa, Rayvanny Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out