Muziekvideo

Nenda
Bekijk de videoclip voor {trackName} van {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mac Voice
Mac Voice
Performer
Lizer Classic
Lizer Classic
Performer
Shabani hamis Makaranga
Shabani hamis Makaranga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Shabani hamis Makaranga
Shabani hamis Makaranga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Songteksten

(Ayolizer) Mmmh siri ya mwezi Siri ya nyota, siri ya angani Siri ya njozi usingizi Siri ya kitandani Ila siri ya penzi, siri ya moyo Siri ya nani? Siri ya chozi ni maumivu ndani kwa ndani Mapenzi niliyaanzisha yakanifurahisha Yakanibadilisha jamani Na sio tu kumridhisha Nikamdhaminisha, nikamtamulisha nyumbani Sasa leo yamekwisha yananidhalilisha Yananiaibisha hadharani Ila yote ni maisha, japo nahuzunika Eeh wa kuninyamazisha ni nani? Sijuti kukufahamu, ila najuta kukuamini Kasuku ndege wangu leo umekuwa bundi Pokea zangu salamu, bado sijui nitapona lini? Umevunja moyo yangu, we ndo ulikuwa gundi Ile siku unafungasha mabegi Ulidondosha picha yako dondo Ndo naypjilazia kwa bedi Aki ya Mungu umenipiga zongo Naomba msalimie shemeji Aki ya nani amepata chombo Na kama ukiskia nimededi Jua ni mawazo msongo Nenda, salama nenda Nenda, salama nenda Nenda, salama nenda Nenda, salama nenda Nikiwa na marafiki kwenye sura naongopa Ila moyo unasota Nikiwa peke yangu siwezi Chozi linanidondoka Nahisi kama naota Hivi kweli umeondoka Yanautesa moyo mapenzi Mpaka kupenda naogopa Umesema hutaki tena kuiona sura yangu Kwenye simu umefuta namba zangu Ila jibu lipo kwa Mola wangu Mi nasubiri Kila baya unasema ukitaja jina langu Umesahau yote mazuri yangu Basi nilindie madhaifu yangu Unisitiri Sijuti kukufahamu, ila najuta kukuamini Kasuku ndege wangu leo umekuwa bundi Pokea zangu salamu, bado sijui nitapona lini? Umevunja moyo yangu, we ndo ulikuwa gundi Ile siku unafungasha mabegi Ulidondosha picha yako dondo Ndo naypjilazia kwa bedi Aki ya Mungu umenipiga zongo Naomba msalimie shemeji Aki ya nani amepata chombo Na kama ukiskia nimededi Jua ni mawazo msongo Nenda, salama nenda Nenda, salama nenda Nenda, salama nenda Nenda, salama nenda (Nenda salama, oooh) Mwenzako naogopa, ogopa iyeaaaaah Kila baya unasema ukitaja jina langu Umesahau yote mazuri yangu Basi nilindie madhaifu yangu Unisitiri (Kamix Lizer)
Writer(s): Shabani Hamis Makaranga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out