Muziekvideo

Lava Lava x Diamond Platnumz-Bado Sana (Official Video)
Bekijk de videoclip voor {trackName} van {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Mr. LG
Mr. LG
Producer

Songteksten

Bado, bado sana Bado, bado sana Bado, bado sana Bado, bado sana (Mr LG) Ngoja kwanza nidange dange Mambo ya kuwa na mpenzi (Bado sana) Nimezoea kwa Mpalange Eti unipeleka Mbezi (Bado sana) Kutega unatega Ila kupata masponsor (Bado sana) Tatizo nje shega Ila ndani kujiosha (Bado sana) We ngwesa wa kukaya Hebu kuwa na haya (Bado sana) Tulikutoa Sigimbi Leo unajiona wa Ulaya (Bado sana) Ka mnasepa sepeni Mi kurudi nyumbani (Bado sana) Ka mnakesha kesheni Tingiza ka imeisha (Bado sana) Bado, bado sana Bado, bado sana Nauliza mmechoka? (Bado) Mmechoka? (Bado sana) Wanangu mmechoka? (Bado) Mmechoka? (Bado sana) Aii! Hako kamacho matatu Usijione bosi (Bado sana) Ukajishebedua Kutuletea mapozi (Bado sana) Kwa vipya vitatu Ndo eti uning'oe (Bado sana) Niache kula bata Eti simba uoe (Bado sana) Wanasubiria (Bado) Ndangote kufulia (Bado sana) Vinyimbo wataimba Ila wee kunifikia (Bado sana) Ati kisa kigari ndo hawatusalimii Achaaaa! Ndio maana dem wake wanamnanii Aiyayayaya! Mjomba Chumali kachinja mang'ombe Yaani zidi kwa kiti (Acha bwana) Cha ajabu kazidi ubonge Ila kwenye mziki (Bado sana) Ka mnasepa sepeni Mi kurudi nyumbani (Bado sana) Ka kukesha tukesheni Au mizuka imekwisha (Bado sana) Bado, bado sana Bado, bado sana Nauliza mmechoka? (Bado) Mmechoka? (Bado sana) Wanangu mmechoka? (Bado) Mmechoka Haya tumpeleke msobe msobe Wanangu msobe msobe Tumpeleke msobe msobe Aah msobe msobe Eeh kushoto, msobe msobe Kulia, msobe msobe Twende kwa mbele, msobe msobe Aiii kwa nyuma Wanangu nawarudisha utotoni (Wapi?) Kule utotoni (Wapi?) Niwapeleke utotoni (Wapi?) Kule utotoni (Wapi?) Sa twende (Yesa yesa yesa yesa yeee) Yesa tena (Yesa yesa yesa yesa yeee) Bado kidogo (Yesa yesa yesa yesa yeee) Aah ya mwisho (Yesa yesa yesa yesa yeee) (Kamix Lizer)
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Lugendo Zubery Kileo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out