Songteksten

Happy birthday wewe, wueh, tukate maji leo(tuakate maji leo) Unywe mpaka ulewe, wueh, ni siku yako leo(ni siku yako leo) Uuuh Yeah siku ya kuzaliwa ni majaliwa Unataka tei ama tumuoge maziwa Achilia njiwa na tei utamwagiwa Nina roho safi mienendo zangu pure Sijifanye savage keki utatiwa Dishi iko few so joe mkute fewer Liwe liwalo mti joh huanga cure Mida ya saa sita short analipulwa Na niko gage niko zanagalewa Leo ni bash yangu kila mtu pewa Kila mtu keiyo mikono juu ya hewa Ju ya track marathon mbuzi tumelewa Happy birthday wewe, wueh, tukate maji leo(tuakate maji leo) Unywe mpaka ulewe, wueh, ni siku yako leo(ni siku yako leo) Uuuh Kama huna maji mwagia, mwagia Kama una pombe mwagia, mwagia Kama una soda mwagia, mwagia Mwagia, mwagia, mwagia Kwa roho aliteswa sana ye, kwanza leo nikazaliwa Kwetu kuna kabaridi sana staki maji leo kumwagiwa Luku white njiwa hadi tu kupatiwa Msupa amekam, kwa bash tu kukatiwa Ata ka hawanijui pale status nasifiwa Mzinga iikikatika nkikupate zimeshika Haya sa skiza skiza sikule food ka unajua utatapika Sa sasa sa skiza usikuje bash ka kukurombosea na shida Happy birthday wewe, wueh, tukate maji leo(tuakate maji leo) Unywe mpaka ulewe, wueh, ni siku yako leo(ni siku yako leo) Uuuuh Kama huna maji mwagia, mwagia Kama una pombe mwagia, mwagia Kama una soda mwagia, mwagia Mwagia, mwagia, mwagia Wote kwa hii party wazee tulizaliwa sindio Okay mi natakla kuskia Hehhe lets go January, February, March April piga nduru manze, yeeeeh May, June, July, August wapi nduru manze, heeeeh September, October, November, December nduru manze heeeeh Wapi nduru manze heee Siwaskii wapi nduru manze heeeh Kama huna maji mwagia, mwagia Kama una pombe mwagia, mwagia Kama una soda mwagia, mwagia Mwagia, mwagia, mwagia Alright then siku yako ya kuzaliwa Kila mtu apate hio miwa Tunaparty hadi kwa njia Shika msupa wueh mwagia One time, it's your birthday Cheza na me gyal kwenye party Tunarepresent 400 from Monday mpaka Sunday Make up imewaka kadress kamefit Figure namba nane ye physically fit Wallet imebeba dollar na shillings Kwenye neck tumepiga Happy birthday wewe, wueh, tukate maji leo(tuakate maji leo) Unywe mpaka ulewe, wueh, ni siku yako leo(ni siku yako leo) Uuuuh
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya, Peter Ochieng Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out