Songteksten

Cough Yao yaoo Mmmh mmmh mmmh Alrighty Tisini na nne march fifteen Beginning of my world Nilipozaliwa nikadondoka chini Hakukua na kitanda kwa ward Basi mgongo wa mama nikaufanya godoro Na kilichonikuza mihogo na viporo Nilipelekwa shule ila bado nikawa mtoro Kingereza nilichokalili labda tomorrow ama today Zikafika time ya kubalehe Nikayajua mapenzi nikagundua bila pesa siyawezi Ni ujinga Nikadondokea umachinga Hapakuchi panakucha siku zikasogea Pruuh mpka dar es salaama nikaanza jitegemea Nyumbani baba na mama wakiniombea Mwanetu nenda salama na ukipata rejea Mmh na ukipata Hapo akili ndo ikaanza kukomaa Na nikajuta kwanini sikusomaa Jinsi jua la utosi linavyochoma Na usiku baridi ikanipa homa nusu inuchukue uhai mmmh Mi nimepitia mengi ndo mana sio mshamba wa helaa Kwa ajili ya vitu vidogo sigombani na maselaa We kubali kudharauliwa Kukataliwa Kupata majaliwa Kula kinacholiwa(mwenyewe) Raha jipe mwenyewe Basi kamata chupa fungua na mimina(mwenyewe) Raha jipe mwenyewe Lewa tukuone unavyocheza kichina(mwenyewe) Raha jipe mwenyewe Anaekupenda zaidi ni wewe(mwenyewe) Raha jipe mwenyewe Ata anaekujua zaidi ni wewe(mwenyewe) Raha jipe mwenyewe Masikini na wanawe tajiri na mali zake Asie na shida nawe mwache aende zake Usibweteke na ulicho nacho Pia usiteseke kwa walicho nacho Riziki mafungu saba pengine leo zamu ya sita Kaza moyo epusha roho yakusita We umezaliwa peke yako Utakufa peke yako Na utazikwa peke yako So usiwaeleze shida zako Ukidhani ndugu zako kumbe ndo wabaya wako Wee komaaa(mwenyewe) Raha jipe mwenyewe Basi kamata chupa fungua na mimina(mwenyewe) Raha jipe mwenyewe Lewa tukuone unavyocheza kichina(mwenyewe) Raha jipe mwenyewe Anaekupenda zaidi ni wewe(mwenyewe) Raha jipe mwenyewe Ata anaekujua zaidi ni wewe(mwenyewe) Raha jipe mwenyewe Cough Alrighty Yaoo yaoo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out