Songteksten

Ya salam yasalam Mapenzi yako ya salam ni matamu Mahaba yako matamu Hayaishi hamu Ya salam yasalam Mapenzi yako ya salam ni matamu Mahaba yako matamu Hayaishi hamu Nikimo siwajali wa nafki Ila wafahamu Wanasuu Mema hawatakii Wananizulumuu Nikimo siwajali wa nafki Ila wafahamu Wanasuu Mema hawatakii Wananizulumuu I love you I love you My sweety heart I need you I need you Forever you I love you I love you My sweety heart I need you I need you Together boo Nimezoeshwa kulishwaaaaaaa Wambea waona gereee Nalia nanyamazishwaaaa Napewa mwili nichoree Nimezoeshwa kulishwaaaaaaa Wambea waona geereee Nalia nanyamazishwaaaa Napewa mwili nichoree Ukubwaa huu,Nanyonyweshaaa Mambo ya sasa mburee Kitandani napandishwaa Napepewa nilaleee Ukubwaa huu,Nanyonyweshaaa Mambo ya sasa mburee Kitandani napandishwaa Napepewa nilaleee Kileleni nafikishwa Natolewa makolee Nguo zoote navishwa Tena kwa vigelegeleee Kileleni nafikishwa Natolewa makolee Nguo zoote navishwa Tena kwa vigelegeleee Aaah wa ghaliii Mtoto wa ghaliii Wa ghalii mtoto wa ghalii Aaah wa ghaliii Mtoto wa ghaliii Wa ghalii mtoto wa ghalii Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa Kwani mimi siliwezi Penzi la kugobaniwaa Nina mmoja mpenzi Ndio ana nizuzua Kwani mimi siliwezi Penzi la kugobaniwaa Nina mmoja mpenzi Ndio anae nizuzua Anavonifurahishaaaa Kwa maraha teletelee Tena anilazimishaaaah Hunipa kisamvu nileee Anavonifurahishaaaa Kwa maraha teletelee Tena anilazimishaaaah Hunipa kisamvu nileee Mboga zakuu nenepeshaa Na pilau ya uzilee Raha ana zizidisha Juice sukari teleee Mboga zakuu nenepeshaa Na pilau ya uzilee Raha ana zizidisha Juice sukari teleee Kitafunio sambusaa Nyama iko vilevile Siwahi kumkurusha Mtaumbulika buree Kitafunio sambusaa Nyama iko vilevile Siwahi kumkurusha Mtaumbulika buree Aaah wa ghaliii Mtoto wa ghaliii Wa ghalii mtoto wa ghalii Aaah wa ghaliii Mtoto wa ghaliii Wa ghalii mtoto wa ghalii Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa Kwani mimi siliwezi Penzi la kugobaniwaa Nina mmoja mpenzi Ndio ana nizuzua Kwani mimi siliwezi Penzi la kugobaniwaa Nina mmoja mpenzi Ndio anae nizuzua Hajawai kubakishaaa Hunipa vyoote nivilee Vingine anazidishaaa Chukuchuku ya tungulee Hajawai kubakishaaa Hunipa vyoote nivilee Vingine anazidishaaa Chukuchuku ya tungulee Anavyonii gusagusa Husimama zangu nywelee Yeye kwagu hanaa Hana makosaaa Hupenda tule tulalee Anavyonii gusagusa Husimama zangu nywelee Yeye kwagu hanaa Hana makosaaa Hupenda tule tulalee Nami namfurahisha Nyama Bucha lilelile Wambea nawakomesha Wembe wetu ule ulee Nami namfurahisha Nyama Bucha lilelile Wambea nawakomesha Wembe kupita ule ulee Aaah wa ghaliii Mtoto wa ghaliii Wa ghalii mtoto wa ghalii Aaah wa ghaliii Mtoto wa ghaliii Wa ghalii mtoto wa ghalii Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa Kwani mimi siliwezi Penzi la kugobaniwaa Nina mmoja mpenzi Ndio ana nizuzua Kwani mimi siliwezi Penzi la kugombaniwaa Nina mmoja mpenzi Ndio anae nizuzua Cheza kidogo mtoto Ahaaa hapo hapo Tingisha kidogo mtoto Ahaaa hapo hapo Hebu ringa Kidogo mtoto Ahaaa hapo hapo Cheza kidogo mtoto Ahaaa hapo hapo Nikumbatie kidogo mtoto Ahaaa hapo hapo Waonyeshee body mtoto Wapo wapo wamejaa teleee Madada uwanii msela Utalala mwenyewe Wapo wapo wamejaa teleee Madada uwanii msela Utalala mwenyewe
Writer(s): Baraka Mkande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out