Songteksten

Ahhh wengi wanaa Ulizanaa Kwanini? Nadekezwa Nadekezwa Nadekezwa Nadekezwaaa Nadekezwaaa Nadekezwaaa Wengi wanaa Ulizanaa Kwanini? Nadekezwa Nadekezwa Nadekezwa Nadekezwaaa Nadekezwaaa Nadekezwaaa Sababu ka Nipenda sana Nyonda nina Mliwaza mliwaza Namliwazaaa Sababu ka Nipenda sana Nyonda nina Mliwaza mliwaza Namliwazaaa Aniii III Anijuaaa Siriyaaanaa Mapenzi Kwa mapenzi nayaweza Aniii Anijuaaa Siriyaaanaa Mapenzi mapenzii Kwa mapenzi nayaweza Ahhha ya nini tena Fitina hebu nyamaa Zeni kwanzaa Ya nini tena Fitina hebu nyamaa Hebu nyamaa zeni kwanza Yaa layli yaaaaaaaaaa Leyii Yaa layli yaaa aaaaaaaa Leyii Yaa layli yaaa aaaa Leyii eeiihieeihhhh Ya leyiii Habibii yaleyii Mahibibaa yaleyii Yaleyii yaleiii Yaleyiiiiiiii Laini yaaa Yaa salamm Na kwanini Nisidekee Yupo wa kunidekezaa Na kwanini Nisidekee Yupo wa kunidekezaa Na kwanini Nisidekee Yupo wa kunidekezaa Na kwanini Nisidekee Yupo wa kunidekezaa Mapenzi na raha zake Kwangu mimi miujiza Mapenzi na raha zake Kwangu mimi miujizaa Nitakacho juu yake Juu yake Imaana kitimizaa Nitakacho juu yake Juu yake saa yoyote Imaana kitimiza kitimiza Nitakacho juu yake Juu yake Imaana kitimizaa Nitakacho juu yake Juu yake saa yoyote Imaana kitimiza kitimiza Wachenii upeke peke Hatutaki kuchokozwa Wachenii upeke peke Hatutaki kuchokozwaaa Na kwanini nisidekee Nami nadekea changuu Na kwanini nisidekee Nami nadekea changuu Na kwanini nisidekee Nami nadekea changuu Na kwanini nisidekee Nadekea mpenzi wangu Ukitaka usitake Yeye atabaki wanguu Ukitaka usitake Yeye atabaki wanguu Pengine twa Twabia yangu Ndicho kilo mpendeza Penginee Matunzo yangu Ndicho kilompendeza Pengine ni Heshima yangu Ndicho kilompendeza Pengine ni hadhi yangu Ndicho kilompendeza Amejikaa Bizi kwangu Apete kuu Niliwazaa Amejikaa aahh Bizi kwangu Apete kuu Niliwazaa Analileaa Pendo langu Pendo langu Nami nimejituliza Analileaa Pendo langu Pendi letu Nami nimejituliza Analileaa Pendo langu Pendo langu Nami nimejituliza Analileaa Pendo langu Pendi langu Nami nimejituliza Bakieni na uchungu Mwezenu na bembelezwa Bakieni na uchungu Mwezenu na bembelezwaa Na kwanini nisidekee Nami nadekea changuu Na kwanini nisidekee Nami nadekea changuu Na kwanini nisidekee Nami nadekea changuu Na kwanini nisidekee Nadekea mpenzi wangu Ukitaka usitake Yeye atabaki wanguu Ukitaka usitake Yeye atabaki wanguu Yeye ndio yangu Yangu jeuri Msiojua nina waeleza Yeye ndio wangu Wangu umuri Wasiojua nina waeleza Yeye ndio yangu Yangu jeuri Msiojua nina waeleza Yeye ndio wangu Wangu umri Wasiojua nina waeleza Kwake nina Tafakharii Anavoni Toshelezaa Kwake nina Tafakharii Anavoni Toshelezaa Tena ana Nishauri nishauri Jambo la kutekeleza Tena ana Nishauri nishauri Jambo la kutekeleza Tekeleza Tena ana Nishauri nishauri Jambo la kutekeleza Tena ana Nishauri nishauri Jambo la kutekeleza Tekeleza Pendo limeshashamiri Wembea na washangazaa Pendo limeshashamiri Wembea na washangazaaaa Na kwanini nisidekee Nami nadekea changuu Na kwanini nisidekee Nami nadekea changuu Na kwanini nisidekee Nami nadekea changuu Na kwanini nisidekee Nadekea mpenzi wangu Ukitaka usitake Yeye atabaki wanguu Ukitaka usitake Yeye atabaki wanguu
Writer(s): Baraka Mkande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out