Songteksten

Injili inahubiriwa unaikata Unakunja midomo wahubiri unawadharau Yale wanayosema Watumishi wa Mungu unayapuuza na kuona hayana maana Siku zinakuja mbaya sana Mbele yako Maandiko yanasema neno litatoweka Siku zinakuja mbaya mbele yako Hao wahubiri hautawaona tena Wachungaji unaowaona kila siku Siku zinakuja hautawaona tena Wakati huo Yesu atakuwa kanyakuwa kanisa lake Utawatafuta kote hautawaona tena Mikutano ya injili unayoiona kila kona Utaitafuta kote hautaiona tena Siku zinakuja mbaya bora uokoke mapema Ukichelewa neema itatoweka Utalitafuta neno hautaliona Utatamani kuokoka haitawezekana Utalitafuta neno hautaliona Utatamani kuokoka haitawezekana Siku zinakuja jamaa Utalitafuta neno hautaliona Utatamani Utatamani kuokoka haitawezekana Siku zinakuja mbele yako Utalitafuta neno hautaliona Utatamani sana Utatamani kuokoka haitawezekana Utakwenda makanisani mama Utalitafuta neno hautaliona Utatamani sana Utatamani kuokoka haitawezekana Utakwenda milimani mama Utalitafuta neno hautaliona Huku machozi yakikutoka Utatamani kuokoka haitawezekana Ooh! Ooh! Eeh! Mpokee Bwana Yesu maadamu anapatikana Ukubali wokovu maadamu neema ipo Ukichelewa ndugu yangu nakuambia Utakuja kujuta Utafananishwa na kizazi cha Nuhu Nuhu aliposema tujenge safina watu walicheka Baadaye walimkumbuka Nuhu Asira ya Bwana iliposhuka Walimtafuta Nuhu hawakumwona tena Hivyo itakavyo kuwa kwako wewe unaye ghairi neno leo Utalitafuta neno hautaliona Utatamani kuokoka haitawezekana nakwambia Utalitafuta neno hautaliona Utatamani kuokoka haitawezekana Siku zinakuja mbaya we Utalitafuta neno hautaliona Utatamani mama Utatamani kuokoka haitawezekana Siku zinakuja mbele Utalitafuta neno hautaliona Utatamani sana Utatamani kuokoka haitawezekana Utakwenda makanisani mama, baba we Utalitafuta neno hautaliona Utatamani sana Utatamani kuokoka haitawezekana Misikitini na makanisani Utalitafuta neno hautaliona Utatamani Utatamani kuokoka haitawezekana Utakwenda milimani na mabondeni Utalitafuta neno hautaliona Utatamani sana Utatamani kuokoka haitawezekana Machozi yatakutoka sana Utalitafuta neno hautaliona Utatamani Utatamani kuokoka haitawezekana Eeh! Aah! Siku zinakuja mbele Utalitafuta neno hautaliona Utatamani mama Utatamani kuokoka haitawezekana Siku zinakuja mbele Utalitafuta neno hautaliona Utatamani mama Utatamani kuokoka haitawezekana Siku zinakuja mbele Utalitafuta neno hautaliona Utatamani mama Utatamani kuokoka haitawezekana
Writer(s): Boniphace Mwaitege Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out