Songteksten

Ule ugonjwa ulioniacha nao,Bado sijapona Hata mapenzi ulioniacha nayo,Yamebaki jina Hospitali oooh,Za dunia nzima Nimezunguka kote,Wamepima majibu hakuna Hata ngoma sina(Sina ooh) Pressure sina(Sina eeh) Ugonjwa sina(Sina) Jina lako ninalo Uwepo wako Ndo ulikuwa wangu uzima Naona giza (Ungeniacha hata na mshumaa) Alioo iyooo... Nakumiss... Tena! Tutonana Tena! Hata Mungu akipanga leo Tena! Nikufe kesho Tena! Tutaonana tena Tena! Ifike kesho uliamba Tena! Waniweke kwa mchanga Tena! Nikufe kesho Tena! Ali oooh Labda nikukumbushe,Nilipokuvisha pete Ulisema machache,Hauniachi mpaka nife Maana ngoma sina(Sina ooh) Pressure sina(Sina eeh) Ugonjwa sina(Sina) Jina lako ninalo Uwepo wako Ndo ulikuwa wangu uzima Mi naona giza (ungeniacha hata na mshumaa) Alioo iyooo... Nakumiss... iye iye Tena! Tutonana Tena! Hata Mungu akipanga leo Tena! Nikufe kesho Tena! Tutaonana tena Tena! Ifike kesho uliamba Tena! Waniweke kwa mchanga Tena! Nikufe kesho Tena! Ali oooh Tiriri tirara tata Tara tiriri tata Ali oooh Turururu
Writer(s): Ali Saleh Kiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out