Tekst Utworu

Sauti na tabasamu lako Ndio linafanya nikukumbuke Kinachoniumiza mwenzako Unapolia chozi nsifute Mapenzi sidhani mimi Kilichobaki ni uadui Kuniona hautamani kwanini? Kweli maziwa nimegeuka tui Nami nina moyo Yapita miaka mingi sijakuona Nami nina moyo mama Upate siku moja uje niona Nami nina moyo Yapita miaka mingi sijakuona Nami nina moyo mama Ungalisema neno moja ningepona Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?) Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?) Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?) Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?) Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?) Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?) Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?) Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?) Sickness Sickness Sickness small me Well me yes, you are dumping me In this wicked World Baby every one needs a company My heart bleeds For your Love Girl i bleed for your love Me, me can imagine If you know dey me, what a sad ting (aaaaaeeeeeh) I can't imagine You inna me life girl what a sad ting Nikiwa nawe mwenzako ndo napona Na nikilala usiku ndotoni nakuona Ukipata mafua me napa ka homa I wanna be your lover, your friend and your owner Kwa mawazo silali mama yangu Basi rudi ooh Natamani ulitaje jina langu Makusudi ooh Nami nina Moyo Yapita miaka mingi sijakuona Nami nina Moyo mama Upate siku moja uje niona Nami nina Moyo Yapita miaka mingi sijakuona Nami nina Moyo mama Ungalisema neno moja ningepona Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?) Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?) Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?) Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?) Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?) Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?) Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?) Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?) (Wasafi) Nimefuta na mabaya yako (ayeeh) Sikutishi me kinyago wako (ayeeh) Ninachotamani ni uwepo wako (ayeeh) Kwenye nafsi upo peke yako (ayeeh) Please don't go (ayaya) Girl please don't go (ayaya) Please don't go (ayaya) World best and Mavoko
Writer(s): Patrick Nnaemeka Okorie, Rich Mavoko Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out