Tekst Utworu

Vijana wa subaru wametupa pressure Wamekunywa dem zetu ata bila chaser Ukimwita boss vipi anawika later Rada chafu hii game balaa Wamwita dem kwenye date analeta hadi bendi Vidosho wenye expensive taste watakuwacha kwenye deni Mapenzi utapewa ukispendi Wamekam wakishine rangi thao thao Money ndiyo lugha wanatii right now Hawapendi vitu loco huwezi pita nao Soko tumegoma vijana tumestretch mfuko hadi tuna yonga Shosho wanjoka ndiyo lugha tuna bonga Mmmh Why you drive me crazy lady Niko mishe mishe daily Hizi stress ninachoka Hucheki niko mboka Mbona wapina pressure lady Why you drive me crazy lady Niko mishe mishe daily Hizi stress ninachoka Hucheki niko mboka Mbona wapina pressure lady Mapenzi ni ya kibeti Na ka si pesa au subaru hakuna kudeti Yeye ni mvuvi anatega pale mneti Samaki me nilidishiwa ata bila pleti Na si ni movie alinicheza ka ni kwa seti Action Msupa V8 ye ni guzzler Ati boss lady she ain't ye ni hustler Tokwa juu ya muller nikakeukwa ki gafla Tot ya amarula nikaanza kushare half-life Naenda mguu manze me ata sidrrrrrr Ye uniita boo tuko watu ka prrrrrrrrrrr Na gari ni ya blue ni subaru imprrrrrrr Panua mguu hivyo ndo ye utrrrrrrrr Naenda mguu manze me ata sidrrrrrr Ye uniita boo tuko watu ka prrrrrrrrrrr Na gari ni ya blue ni subaru imprrrrrrr Kapanua mguu hivyo ndo ye utrrrrrrrr Woooh Daily naumia kichenzi Hizi stressor mapenzi Mapressure siwezi Ati daily naumia kichenzi Hizi stressor mapenzi Mapressure siwezi Why you drive me crazy lady Niko mishe mishe daily Hizi stress ninachoka Hucheki niko mboka Mbona wapina pressure lady Why you drive me crazy lady Niko mishe mishe daily Hizi stress ninachoka Hucheki niko mboka Mbona wapina pressure lady Woooh Daily naumia kichenzi Hizi stressor mapenzi Mapressure siwezi Ati daily naumia kichenzi Hizi stressor mapenzi Mapressure siwezi
Writer(s): Brian Onyango Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out