Tekst Utworu

A girl I want you to know that You are my everything my only one A girl I want you to know that Ni kugombana na baby no Kununiana na baby no Mambo ya kupigana na baby no Ati niachane na baby noo Sikujua Aaah Nitapenda hivi Akiniacha Aaah Mi nakuwa chizi Baby turn around I wanna see your back Thick heavy heavy alafu tumbo flat Ukimwaga maji nipate bomat Play some music ghetto kuna party Nakupenda We meant to be together Nakupenda Nakupenda Me and you forever Nakupenda wewe Ooh girl I want you to know that Uzuri wako hauna mfano Sexy body like a chopper Ngozi mwanana Chuchu sindano Ona Mungu kaumba toto special Sio mtumba Yeye ndio mama mwenye nyumba Wasompenda wamechunda Sikujua Aaah Nitapenda hivi Akiniacha Aaah Mi nakuwa chizi Baby turn around I wanna see your back Thick heavy heavy alafu tumbo flat Ukimwaga maji nipate bomat Play some music ghetto kuna party Nakupenda We meant to be together Nakupenda Nakupenda Me and you forever Nakupenda wewe
Writer(s): Mwakyusa Raymond Shaban Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out