Tekst Utworu

(Yeah) Ana mwendo wa maringo, huyu binti wa kishua moyo anaukosha Nakatega kwenye nyavu, kama samaki navua kwake najitosa Amenasa ulimbo maji kina shingo, hapendi mkwanja bingo Anapenda muziki anazimia zangu nyimbo, nitakatungia single (yeah) Waiter leta kwanza crate, alewe awe mbwi ndo nikafinye kwa bed Tena usihofie budget, wallet iko full kama namiliki Bank Rangi yake mtoto shombeshombe, hatumii mkorogo hatumii vidonge Body lake nyuma kobekobe, na nikimuona anilewesha ka pombe Kanicha, cha, changanya Kanichanganya akili kachanganya ubongo Kanicha, cha, changanya Kanichanganya sio siri, sio siri Mtoto kanicha, cha, changanya Kanichanganya akili, kachanganya ubongo Kanicha, cha, changanya Kanichanganya sio siri, sio siri Kanichanganya kwa mapenzi hadi nimenasa kwake yeye (kwake yeye) Yaani vurugu mapenzi bedini, nampandisha mizuka tele Namfundisha mapenzi bedini (yeah yeeaah yeah) Nimemnasa mtegoni, kajaa ndege tunduni (kajaa) Nambambia spirit nampatia, namuwasha kiberiti moto pia Nambambia spirit nampatia, namuwasha kiberiti moto pia (yeah) Waiter leta kwanza crate, alewe awe mbwi ndo nikafinye kwa bed Tena usihofie budget, wallet iko full kama namiliki Bank Rangi yake mtoto shombeshombe, hatumii mkorogo hatumii vidonge Body lake nyuma kobekobe, na nikimuona anilewesha ka pombe Kanicha, cha, changanya Kanichanganya akili kachanganya ubongo Kanicha, cha, changanya Kanichanganya sio siri, sio siri Mtoto kanicha, cha, changanya Kanichanganya akili, kachanganya ubongo Kanicha, cha, changanya Kanichanganya sio siri, sio siri Kanichezesha huo mkuti, huo mnazi Michezo ya utotoni, huo mkuti, huo mnazi Kanirudisha utotoni, ye ndo mama mi ndo baba Kanicha Kanicha, cha, changanya Kanicha, cha, changanya Mtoto kanicha, cha, changanya Kanicha, cha, changanya
Writer(s): Dj Kassu, Hamad Said Mbaraka, Kassumpa Adrian Machati, Rajabu Ally Rajabu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out