Letra

Si kokoko si kandambili, yani vyote havikupendezi Mwana ngoko usionawili, tope bin uterezi Utaishia kututabiri tubomoke, inasonga miezi Mola amesha takabiri, usijichoshe livunjiki penzi Ona! Umekosa nuru, umekosa bahati huna Unaitwa kunguru, ukifika wananuna Ndondondo mwana chururu, asie buzi wataka chuna Mengine nisikufuru Hhmm! Hazikukai maskara, wala makeup zinakushuka Uso umekuparara, mwili shockup zimetenguka Uso, sauti ya Stara, pakudeka unawehuka Jibwa koko la Mbagala, unabweka na kubwetuka wala! Wala haunisumbui wala! Wala haunisumbui wala! Wala haunisumbui wala! Wala haunisumbui wala! Na izo post, mara kubebana, mara eti mnabusu mtamaliza bando Unaowatuma kunitukana, siogopi mashushu mi wala michambo Kutwa kwa ma-page feki kama Lokole inahusu? Mkwe akutaki eti mwenzangu pole mbona kuntu Vimeseji kujitumisha kwa ndugu zangu marufuku Nyota imekufubika, usifosi umaarufu Upepo wa kisulisuli, umekuchukua na nuksani Tanga Lipulipuli, wanakununua kwa mizani Kwangu pambe shughuli, najiashua burudani Nna toto zurizuri, nimelitua tuli ndani yi yi yi hi Umekosa nuru, umekosa bahati huna Unaitwa kunguru, ukifika wananuna Ndondondo mwana chururu, asie buzi wataka chuna Menginе nisikufuru, usie wa Shaba wala Chuma Wala haunisumbui wala! (Hamunikondeshi) Wala haunisumbui wala! (Mujipost mainstagram) Wala haunisumbui wala! (Hamunitetеreshi) Wala haunisumbui wala! (Waalaah) (Waasafi)
Writer(s): Siraju Amani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out