Letra

Ungelikua wazi mwanzo Imani yangu kwako mwanzoo Na siwezi jilaumu kwa chanzoo Kilichofanya nitazame upande mwingine eeh Unajua mapenzi ya dhati nilikosa Moyoni nikateswa na vidonda Naelewa bila we me siwezi ishi Ila inabidi nijiforce Baby one day (one day) You always tell me one day (one day) Tell me one day (one day) You gonna be with me baby You always tell me one day (one day) Tell me one day (one day) You always tell me one day Utakua na mimi mpenzi You always tell me- Ananipa kile nnachopenda, yuleee Nimempa nafasi ili niwe wake, mmmhhh Tena huna lolote la kufanya, tule buree Kwenye ngome mfalme ndo ye Tatizo hukuonyesha ata tone furaha Ulidhamiria kupata hilo jeraha Usinihukumuu, usinilaumuu Unajua mapenzi ya dhati nilikosa Moyoni nikateswa na vidonda Naelewa bila we me cwezi ishi Ila inabidi nijiforce Baby one day (one day) You always tell me one day (one day) Tell me one day (one day) You gonna be with me baby You always tell me one day (one day) Baby one day (one day) Tell me one day (one day) Utakua nami mpenzi
Writer(s): Harry David Gregson-williams Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out