Letra

Roho i radhi ila kitu mwili, ni dhaifu sana Alisema hayo bwana, akiwa gethsamane Taji ya miiba alivikwa, damu nyingi ilitoka Hiyo yote ni kwa sababu sisi sote tuokolewe Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki, damu na maji alitoka. akalia sana eloi eloi eloi, mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha. Ilipofika saa sita akasema imekwisha kwa huzuni kuu (kwa uchungu mwingi) akakata roho, yesu alizikwa siku ya tatu kafufuka yuko juu mbinguni kuandaa makao Je na wewe ndugu yangu wapenda kwenda mbinguni, uache maovu (usiache dhambi) urudie mungu atakupokea utakuwa mwana wake leo na milele utaishi naye
Writer(s): Upendo Nkone Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out