Letra

Usifurahi juu yangu eh adui yangu Niangukapo mimi nitasimama tena Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie Usifurahi juu yangu eh adui yangu Niangukapo mimi nitasimama tena Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie Si vyema kunisema vibaya nipatapo tatizo Shetani wampa nafasi katika moyo wako Kumbuka kwa maombi yako, nitasimama tena Na utapata baraka kutoka kwake Mungu Si vyema kunisemasema vibaya nipatapo tatizo baba Shetani wampa nafasi ndani moyo wako Kumbuka kwa maombi yako, nitasimama tena Na utapata baraka kutoka kwake mungu Maana heri mtu yule ambaye kinywa chake Huwabariki wenzake na kuwaombea Maana maneno mabaya huchafua moyo Ukuwe kama nina Mungu, ni vyema uwe safi Ukiona nipo kwenye shida niombee Ndoa yangu imevunjika wewe niombee Nikifukuzwa kazini ndugu niombee Magonjwa yananiandama niombee Biashara haina faida niombee Nikikawia kupata mtoto niombee Nimekuwa mtoto yatima niombee Hata nijapokuwa mjane niombee Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa
Writer(s): Upendo Nkone Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out