Letra

Nime kupata yesu, Nimepata yote, Nimekupata bwana, Sitahitaji tena aah, Wewe, ndiwe hitaji langu, Ngome yangu na mwamba Tengemeo langu katika hali Jaza moyo wangu, upendo nikupende, U rafiki wa kweli, Nifundishe kupenda aah, Bwana, maana upendo wako, Ndio pekee waweza, Kunifanya kiumbe kipya nikakufuate Natamani nitembee katika upendo wa bwana, Upendo ule wa dhati, Upendo husiobagua, Upendo uletao hekima, busara na amani, Upendo wakimbingu Pekee ulio bora Natamani nitembee katika upendo wa bwana, Upendo ule wa dhati, Upendo husiobagua, Upendo uletao hekima, busara na amani, Upendo wakimbingu Pekee ulio bora Wapenzi wa kulia, Wengi ni wadanganyifu, Niwapo katika hali zuri tuko wote eeh, Lakini katika matatizo, Wote wanikimbia, Wewe nimekupata nitakushikilia Natamani nitembee katika upendo wa bwana, Upendo ule wa dhati, Upendo husiobagua, Upendo uletao hekima, busara na amani, Upendo wakimbingu Pekee ulio bora Natamani nitembee katika upendo wa bwana, Upendo ule wa dhati, Upendo husiobagua, Upendo uletao hekima, busara na amani, Upendo wakimbingu Pekee ulio bora Nakukaribisha bwana, Uyatawale maisha, Yetu yakila siku, Tufundishe kupanda aa, mbegu Za upendo wa dhati, Mwisho wa nyakati, Tuweze kuvuna matunda ya ukamili Kamilisha upendo, mungu aliohadaa Dumisha ndoa zao furaha itawale, Bwana, pembeni za unyonge na udhaifu, Wao familia iwe mwanga wa mbingu ku Natamani nitembee katika upendo wa bwana, Upendo ule wa dhati, Upendo husiobagua, Upendo uletao hekima, busara na amani, Upendo wakimbingu Pekee ulio bora Natamani nitembee katika upendo wa bwana, Upendo ule wa dhati, Upendo husiobagua, Upendo uletao hekima, busara na amani, Upendo wakimbingu Pekee ulio bora Natamani nitembee katika upendo wa bwana, Upendo ule wa dhati, Upendo husiobagua, Upendo uletao hekima, busara na amani, Upendo wakimbingu Pekee ulio bora
Writer(s): A Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out