Letra

Walahy mimi,sitaki kitu sitaki chochote Nataka mapenzi, Kama sio hivyo mtanizika Siumwi kitu siumwi chochote me Naumwa mapenzi Jama mwenzenu nimeridhika Na Bado, akinipa ananipa Na Kuna siku tunapaa Funua funika aah. Na tunafika kwenye paa Eti will you marry me Will you marry me? Honey will you marry me Mmh will you marry me? Eti will you marry me Will you marry me? Honey will you marry me will you marry me? Mwenzenu niwaambieee Sijawahi mimi Kupendwa hivi Mwenzenu niwaambieee Napendwa mimi Kushinda nyinyi Oya weee Hili Penzi liko huku Napewa vitamu huku Kuna udambwi udambwi huku Mbwembwe nyingi Mambo kibaoo Na tena mwenzenu huku Nimejawa na shauku Natamani yavuke huku Tufike kwao Me na yeye kitambooo Tushamshinda shetani Mambo yakwetu ya ndani Hayatoki nje ni ya ndani kwa ndani Na ananipa mambooo Sio chini kitandani Tukigombana kwa ndani Hayatoki nje yanaishia kitandani Eti will you marry me Will you marry me? Honey will you marry me Mmh will you marry me? Eti will you marry me Will you marry me? Honey will you marry me Mmh will you marry me? Mwenzenu niwaambieee Sijawahi mimi Kupendwa hivi Mwenzenu niwaambieee Napendwa mimi Kushinda nyinyi
Writer(s): Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out