Letra

Konde Boy na Wizzy iih Eeh Country Wizzy Konde boy na Wizzy iih Eeeh Country Wizzy Its s2kizzy beiby Yao yao Country Wizzy again, iih Na Konde boy Kama una mtoto wako njoo nae Usije ukazubaa baadaye Niko na bunduki mi ni roll naye Tuna roll up, roll up, roll up, yeah Naona ashanga waka waka Na mtoto anavyo kata kata Itakuwaje akimkamata mata Nitamchakaza chaka chaka Nangoja muda ufike Twende ndani (ayayayaya) Kwenye bonge la uwanja Kitandani (ayayayaya) Nikunyeshe vile mi hufanya mamy Sinanga utani, utani, utani, utani Kuna watoto wakali ooh Kali oooh, kali ooh, kali ooh Nyuma wana makalio ooh Kali ooh, kali ooh, kali ooh Temeke na kinondoni (haya) Ilala manzese na mwananyamala mala Hivi viatu vipo mfukoni (haya) Napigaga peku Yani bila hata tandala ndala Nawaskia machizi wanaunda kamati Wana data na viuno nailo body body Inabidi nijiongeze niwe big daddy Yes I am a big daddy and am a move daddy Woooh Mama we ni fire yooh Umekusanya kama kwaya yo We ni number 1 desire girl Kwenye michezo we ni mbaya yo Nangoja muda ufike Twende ndani (ayayayaya) Kwenye bonge la uwanja Kitandani (ayayaya) Nikuonyeshe vile mi hufanya mami Sinaga utani, utani, utani, utani Ooh beiby Katika piga magoti, piga magoti Acha wanaopiga majungu Asa namwaga manoti, namwaga manoti Mana nishahongwa na mzungu Ona kapandisha uchizi hivyo Kabinuka kama mbuzi Kashikwa mapembe Hasira za mkizi hizo Furaha kwa mvuvi, kijino pembe Kuna watoto wakali ooh Kali oooh, kali ooh, kali ooh Nyuma wana makalio Kali oooh, kali ooh, kali ooh (iiih) Temeke na kinondoni (haya) Ilala manzese na Mwananyamala mala Huku viatu vipo mfuko (haya) Napigaga peku yani bila hata ndala ndala Konde Boy na Wizzy (iih) Eeh Country Wizzy Konde boy na Wizzy (iih) Eeeh Country Wizzy
Writer(s): Country Boy Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out