Letra

(Frasha) Mazee nilipatana na huu dame Akani-show hakuna maMC wakali So... nikampeleka Decimal Akapatana na Punit Alafu Musyoka akanipea hii track Twende kazi 1 (Frasha) Frasha, mi mkali Nilianzanga mziki tu na Nakitare Akajikalisha basi tu na dakitare Si unajua Frasha nakuwaga dakitare But mtaani, mi ni ordinary Si wa geti kali, boss mi mnare Ndio maana tudame tunashindanga kerere Wanataka mpango wa kando ati niwadare Boss, hey, nisha-mare Niko mdogo mdogo tu kwenye gare Mmm, ha? Si usare Nikisonga mbele wako pare pare Pale pale? Eh, pare pare Si tuko kwenye club tuna-party party Parerezo yaani pare pare Mnarusha mizuga tu pare pare Maishani mwangu Sijapata mkare, mkare, mkare Maishani mwangu Sijamwona mkare, mkare, mkare 2 (Bon'eye) Bon'Eye jemedari mkare Mistari generale kare Generali tangu kale, kare Kikundi serikale, yaani Siri kali tangu kale, kare Haijalishi kale gani kare Kazi zote karekare, kare Nakatika ile hali kare Cash and carry in a hurry, kare Carry forward, Kari Francis, haree Safari za mbalimbali, kare Biashara mbarembare, kare Hatuchoki na hii safari, kare Sauti za kinyumbani, kare Wekelea kwa dakitare, kare Ya dakitare na ni kare ke! Maishani mwangu Sijapata mkare, mkare, mkare Maishani mwangu Sijamwona mkare, mkare, mkare 3 (Buganya) Buganya nina sware Madada kibao, wote shware Wanamuka mbele yangu, na ni sare Wanataka leta noma na kucheza ngware Kwangu kuja nje kuna mbwa kare Nyumba ndani huko pata bibi kare Mkare... mkare... mkare na si mkale Nimeng'ara Karl Kani gani toka kare Nimechapa toto ware ware bado kare Kama umeshindwa basi reta ture Na uongeze ture ndio mi nikure Kuja turerembe kure tuko rembe Nyewe kowa manyu wanataka rembe Wanakaa nakatika kama wembe Otwabe cheki Buganya kitambe Maishani mwangu Sijapata mkare, mkare, mkare Maishani mwangu Sijamwona mkare, mkare, mkare
Writer(s): Francis Amisi, Gabriel Kagundu, Boniface Ghege, Eric Musyoka Lamu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out