Letra

Yeah this one goes to all beautiful mothers in the world I love you mama I wanna talk to yah Helo mamaa Leo nmepata kisimu cha kuazimaa Nkaona hata angalau nijue hali yako oo Vipi uposalama Nia na dhumuni nijue kama umzimaa Hadi nmesahau shikamoo heshima yakoo Ingawa bado mambo magumu Bado sijachokaa napambanaa Ulinisihi nakudhurumu Ni makosa kwa rabana Chunga Wasikudanganye na picha za mitandao Ukahisi napochoa Ila niombee Kila kukicha mi ni mwanao Ipo siku ntantoboa Nliskiaga mjomba isa yule fundi mbao Tayari ameshaoa Ila yote tisa kumi mwanao Moyoni nna doa la kuwa mbali nawe we Eeeeeeee mamaa i love you I say i love you mam (Aahh mama i love you) Nahangaika ili keshooo nkutunze Mama i love you I love you i love (Aahh mama i love you) Hihihi i love u mom Miezi 9 tumboni kwa mateke mi mtundu ulinbeba. Ukajitwesha mgongoni upweke na uchungu ule wa Leba Nikisema nikusifie sifa Zako siwezi maliza ninacho tamani we usikie Kwajili yako na bangaizaaa Mama sio mchana sio usiku kukicha nakwenda lesii Ila naamini ipo siku Mola atanfanyia wepesi Chunga Wasikudanganye na picha za mitandao Ukahisi napochoa We niombee Kila kukicha mi ni mwanao Ipo siku ntantoboa Nliskiaga mjomba isa yule fundi mbao Tayari ameshaoa Ila yote tisa kumi mwanao Moyoni nna doa la kuwa mbali nawe we Eeeeeeee mamaa i love you I say i love you mam (Aahh mama i love you) Nahangaika ili keshooo nkutunze Mama i love you I love you i love (Aahh mama i love you) Hihihi i love u mom
Writer(s): Mark Charron Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out