Letra

Nahisi ninabahati mbaya Kipi nilichokosea Nikijaribu kutafuta shida ndo zinakolea Mfukoni hali mbaya sio kama najitetea Ile pesa yakusuka mbona nilikuletea Mawazo yani yanani kolea Nikupe nini usijepotea Ndungura yani inanyong'onyea Lilinde penzi lisijeteketea Vitunguu Mboga za majani laki tano Kwenye genge Nyama tuu Nikupe milioni kwani unapika kenge Si Jana tuu Nimelipa pochi na doti za vitenge Viatu juu ulivyojumua kama unaduka mwenge Chuma ulete chuma ulete Usiwe chuma ulete Nsije kubadili jina nikakuita chumaulete Chuma ulete mama chuma ulete Usiwe chuma ulete Nsije kubadili jina nikakuita Chuma ulete Pesa sio nguvu za milundi Kunyanyua jiwe juu chini Tukitoka unakuja nakundi Gharama zote juu yangu Mimi Unanasa pesa kama gundi Sasa mimi nitumie nini Kila siku kushona kwa Fundi kama mpambaji wa shughulini Eti nguva inaita Mara mapande sita Mshazari umeshika Hakuna fasheni inakupita Juzi ulikunja ngita Wataka mchele tani sita Mama mbona unatisha Kwani unafuturisha Mawazo yani yanani kolea Nikupe nini usije potea Ndungura yani inanyongo'nyea Lilinde penzi lisije teketea Vitunguu Mboga za majani laki tano kwenye genge Nyama tuu Nikupe milioni kwani unapika kenge Si Jana tuu Nimelipa pochi nadoti za vitenge Viatu juu Ulivyojumua kama unaduka mwenge Chuma ulete chuma ulete Usiwe chuma ulete Nsije kubadili jina nikakuita Chuma ulete Mama chuma ulete Usiwe chuma ulete Nsije kubadili jina nikakuita Chuma ulete
Writer(s): Rayvanny Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out