Letra

Next Level Music Nasdaaaa Njia tambalale nimesahau mabonde milima ya kale ooh wawawa Haupo Kama wale me nawe mapacha saresare oooh oooh Kasukuuuuuuuu Ndege wanguuuu muchuchu tamu yangu Kasukuuuuuu ndege wanguuuu muchuchu tamu yangu Nimepata kamwali oooh mama Toka zanzibari ooooh mama Kanilambisha asali ooooh mamaa aaaah asali toka pemba Kuwa Zuchu unipe sukari oooh mama Tukizima kibatari oooh mama Kama Mbosso mie hodari oooh mama aaaah hodari wa mapenzi Nampenda anakasura cha upole na macho ya kusinzia nampenda kafunzwa mkole sichoki kumsifia, nampenda yeleleyelee jamani anavutia nampenda Pete kidole ndicho anachosubiria Tusigombane lakini aaaaah Yaliwakuta wengi yasinikute na mimi Nimekupenda niamini aaaaaah Tuumizane moyo Tutesane kwanini aaaah Yamewatesa wengi wengine washaji yonga kisa mapenzi oooooh Usiniache mupenzi nisije kunywa sumu kisa mapenzi oooooh Nimepata kamwali oooh mama Toka Zanzibari ooooh mama Kanilambisha asali oooh mama aaah asali toka zenji Kuwa Zuchu unipe sukari oooh mama Tukizima kibatari oooh mama Kama Mbosso mie hodari oooh mama aaaah hodari wa mapenzi Nampenda ana kasura ka upole na macho yakusinzia nampenda Kafunzwa mkole sichoki kumsifia nampenda yeleyeleyele jamani anavutia nampenda Pete kidole ndo anachosubiria Hata waseme sura mbaya kinawahusu nini nampenda Hata wamuiite Malaya kinawawasha nini maneneo kibao sitakiiiii nampenda Hata muweke vikao simuaachiii Vice
Writer(s): Shabani Hamis Makaranga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out