Letra

Lalalila lila ah! (Mocco) Mbona mimi sijui Mi nanini sijui Umenipa nini kidawa Kila nachofanya ni sawa Hakipandi chakula Muda wakula Yani mpaka unilishe Usiku usingizi sina mpaka ulale wewe (aah) Una uzuri wasura Naiyo chura Hufundi usizidishe We nisize yangu kina twaenda wewe You'll be there for me my baby I'll be there for you my baby Baby iih iih Wewe ni wangu Ukicheka mashavu vishimo Mtamu mpaka kisigino We ndio mamilo We ndio mamilo oh oh Mapenzi hayani kipimo Mi na wewe tu kucheat no Nisha dondosha wino oh Nisha dondosha wino oh oh Only you Only you Only you Only you, Only you Only you, Ooh! Only you (oh oh oh) Only you Only you Only you Mungu anaumba, mungu anachora Mungu anayakata kata maumbo Mungu anafumba Molah kakujaza jaza nyamalundo Sindoma si kokoto Vimacho vyako changalawe Mwili homa naisi harosto Tuanze kula ndo tunawe My chioma my pototo Ukinimwagia sandakalawe Sodoma nauona moto Ukibiduka paranawe Mwarubaini ni dawa ya tumbo Usichanganye na sukari (ooh na sukari) Nimebaini penzi nifumbo Si maandishi ya daftari Ukicheka mashavu vishimo Mtamu mpaka kisigino We ndio mamilo We ndo mamilo oh Mapenzi hayani kipimo Mi nawewe tu kucheat no Nisha dondosha wino ooh Nisha dondosha wino (only you) Only you! (only you) Only you! (only you you you) Only you Only you (baby), only you Only you (oh oh) Only you (oh oh) Only you Only you Only you Mocco Genius
Writer(s): Steven Mccutcheon, John Matthews Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out