Letra

Pusha washa Mi nina stress zimejaa kwenye kichwa Sogeza kiti kaa Nikueleze machache yaliyonikuta Kuna kijanaa ana nisumbua sanaaaa Mke wangu raha hana Nyumbani amani hakuna Hi hiiii Asidhani mimi ni mkimya sana Mwenzie naumia roho yangu Nisije baadae mi kupata lawama Nikaharibu CV yangu Mwambieni ama zake ama zangu Mi ntakufa naye Nasema mwambie Ama zake ama zangu Mi nitakufa naye Mkimuona mwambieni Ama zake ama zangu Nitakufa naye Eeeh mwambieni Ama zake ama zangu Nitakufa naye Anapitaga kibarazani Nguo kashusha makalioni Anajifanya yeye muhuni Wenzie tulianza tisini Tutabadilishana majengo ya serikali Aaahh ahhh Mi niende jela, yeye aende mochwali Ahhhh ahhah Hi hiii Asidhani mimi ni mkimya sana Mwenzie naumia roho yangu Nisije baadae mi kupata lawama Nikaharibu CV yangu Mwambieni Ama zake ama zangu Mimi nitakufa naye Nasema mwambieni Ama zake ama zangu Mimi nitakufa naye Mkimwona mwambieni Ama zake ama zangu Mimi nitakufa naye Ehh mwambieni Ama zake ama zangu Mimi nitakufa naye Aiyo, aiyo, aiyoyo Huwaga sipendagi dharau Aiyo, aiyo, aiyoyo Mwambie anajisahau Aiyo, aiyo, aiyoyo Tutachukiana mamaa Aiyo, aiyo, aiyoyo Tutapeana lawana sana ooho
Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out