Vídeo de música

Aslay - Nibebe (official Video)
Veja o vídeo de música de {trackName} de {artistName}

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Aslay
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Aslay
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Awadh Salim
Awadh Salim
Producer

Letra

Mmmmh! Labda mapenzi yawaumiza roho zao Eti kwengine sipati sijiwezi Ndo maneno wasema, kwamba Kwako sifurukuti sijiwezi Nidivyo hivyo wanavyosema Na mimi nanyamaza kimya nakupenda Naogopaa nikikuona nakuwa kimya Sina cha kusema nakupenda Labda sina faragha nashuka kupanda ila nakupenda Mimi kwako ni mjinga sinaga ujanja waache wanaoponda Kama chumba mi dalali (ahh) Penzi letu lifike mbali (ahh) Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu) Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu) Nibebe bee (wanataka niwe chini wao juu) Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh) Nimesikia wamekuundia na group matusi matupu Wanakunyanyasa wanakutukana jitoe Usiwe mchonga vinyago utanifirisi Mwisho wa siku tukigombana ikawa hadithi Wee kitumbo mbelembele kwa kuku na chipsi Usiyeacha hata mifupa utakuwa fisi Kama chumba mi dalali (ahh) Penzi letu lifike mbali (ahh) Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu) Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu) Nibebe bee (wanataka niwechini wao juu) Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh) Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu) Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu) Nibebe bee (wanataka niwechini wao juu) Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh)
Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out