Canções semelhantes
Créditos
PERFORMING ARTISTS
Upendo Nkone
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Upendo Nkone
Songwriter
Letra
Roho i radhi ila kitu mwili, ni dhaifu sana
Alisema hayo bwana, akiwa gethsamane
Taji ya miiba alivikwa, damu nyingi ilitoka
Hiyo yote ni kwa sababu sisi sote tuokolewe
Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki, damu na maji alitoka. akalia sana eloi eloi eloi, mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha.
Ilipofika saa sita akasema imekwisha kwa huzuni kuu (kwa uchungu mwingi) akakata roho, yesu alizikwa siku ya tatu kafufuka yuko juu mbinguni kuandaa makao
Je na wewe ndugu yangu wapenda kwenda mbinguni, uache maovu (usiache dhambi) urudie mungu atakupokea utakuwa mwana wake leo na milele utaishi naye
Writer(s): Upendo Nkone
Lyrics powered by www.musixmatch.com