Видео

Marioo & Jux - Only You (Audio)
Смотреть видео на песню «{artistName} — {trackName}»

В составе

Создатели

ИСПОЛНИТЕЛИ
Marioo
Marioo
Исполнитель
Jux
Jux
Исполнитель
МУЗЫКА И СЛОВА
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
Автор песен
Juma Mussa Mkambala
Juma Mussa Mkambala
Автор песен
Sweetbert Charles Mwinula
Sweetbert Charles Mwinula
Композитор
ПРОДЮСЕРЫ И ЗВУКОРЕЖИССЕРЫ
Abbah Process
Abbah Process
Продюсер

Слова

Aaah Aaah aaaah Ikitokea sijalala nimekosa usingizi hata ham ya kula sina Ikitokea nna amani moyoni nna amani mpaka ham ya kula sina Talk to me my love talk your love medicine to me yani dawa You are the only one for me we ndo tamu yangu Me chochote we niambie ni sawa (sawa) Vitu vyote vizuri kwenye dunia Wabaki navyo waniachie wewe my wangu (my wangu) Wapo wengi wazuri kwenye hii dunia Ila siwataki uliye kwenye moyo wangu Only you only you only you only you We ndo nakupenda (only you) Hata waseme umeniroga kwangu mi sioni mbaya Vile nimepagawa kwako we kama umeniroga Acha waseme mi muoga bado sioni mbayaa Nahofia bila wee baby umeniroga Oooh mama moyo wangu mtekee Usiniachee mpweke utaniumiza Oooh mama moyo wangu mtekee Usiniache mpweke utaniumiza Vitu vyote vizuri kwenye dunia wabaki navyo Waniachie wewe my wangu wako Wengi waazuri kwenye hii dunia Ila siwataki uliye ndani ya moyo wangu Only you only you only you only you We ndo nakupenda (only you)
Writer(s): Nadia Sanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out