Слова

Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa Tabasamu njoo, Nataka nibadiri Wangu mtazamo niishi kitajiri Na wewe maumivu njoo, Nataka nibadiri Wangu msimamo niishi kijasiri Ile habari ya kulialia Kila siku nakataa (Nakataaa) Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aah Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (Makucha) Wao walipofanikiwa wakataka kutushusha aah Nafuta zile why me!! Why me Sijapata kwanini? Kwanini? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi Sijapata kwanini? Kwanini? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani Zamani huko nilishakataliwa na watu wa nyumbani Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa Kumbe ni Bora kuridhika na hiki Nilichopata ndio yangu ridhiki Mungu ni Bora yeye hatabiriki Amekupa hicho mi amenipa hikii Nafuta zile why me!! Why me Sijapata kwanini? Kwanini? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi Sijapata kwanini? Kwanini? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
Writer(s): Obby Alpha Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out