Слова

Kimambo on the beat Mmmhh Ivi mapenzi ni kitu gani? Mbona sa hayana huruma mmh Haya mapenzi ya nani ii? Huku mbele ah Yamekuja kuwaje aah Gafla kila ninacho fanya Hakimpendezi eti namkera Na kasema akinifumania Wala haimchomi Nafwata kila anachosema Sijiwezi naunga tera Ila sababu ananinunia wala sijui Ubaya nilimpenda sana Ukweli nampenda sana Na kama mapenzi nilimpaga yote Naumia sana Ubaya nilimpenda sana Ukweli nampenda sana Na kama hizi hapa ndo fadhila Oyaa asante Asante Asante Asante Mi nawawaza majirani Wanaojua nakupenda Ina maana wakiniona Watajua sipo sawa Nikawakwaza kisirani Popote ninapo kwenda Haya maumivu nani aje kuntua Mwenzenu napagawa Mmh si sio mbaya Kujisevia unachojisikia Hiki kipindi mi nalia Hukosi wenzangu wanafurahi Si sio mbaya kujichimbia Ulipopenda dear Hata kama nikilia Sawa wenzangu kufurahi Ubaya nilimpenda sana Ukweli nampenda sana Na kama mapenzi nilimpaga yote Naumia sana Ubaya nilimpenda sana Ukweli nampenda sana Na kama hizi hapa ndo fadhila Oyaa asante Aah mh mh eehh (asante) Eehh mh hm aaah (asante) Mmmh ehh eh mmhm (asante) Oyaaaa mhh aaahh Aaaaah Asante
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out