Слова
NDOA NI UPENDO
Tazama sura yangu inavyopendeza, tazama vazi langu, linavutia sana. Ni Mungu amejaza, pendo ndani yetu. Ni mungu amefanya leo tuungane. CHORUS: Upendo wako ndio taa yangu moyoni, unaangaza mambo yote mema moyoni. Nyumbani mwetu lishamiri pendo la dhamani, na kinywa changu kitamke wazi nakupenda. 1. Ni mimi nimetoka, ubavuni mwako, nipende siku zote, nilinde siku zote. CHORUS: Upendo wako ndio taa yangu moyoni, unaangaza mambo yote mema moyoni. Nyumbani mwetu lishamiri pendo la dhamani, na kinywa changu kitamke wazi nakupenda. 2. Mwenyezi Mungu ailinde, ailinde ndoa yetu, ibarikiwe siku zote, maishani mwetu CHORUS: Upendo wako ndio taa yangu moyoni, unaangaza mambo yote mema moyoni. Nyumbani mwetu lishamiri pendo la dhamani, na kinywa changu kitamke wazi nakupenda
Written by: Anastacia Muema


