Credits
PERFORMING ARTISTS
Reuben Kigame
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Reuben Kigame
Composer
Lyrics
Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako Baba
Nipitapo maji mengi au moto huniachi
Unalijua jina langu ewe bwana huniachi
Unatengeneza njia hata mito kule jangwani
Wewe ndiwe Alpha na Omega huniachi
Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye Mwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako Baba
Uliwalinda wa Israeli kule jangwani
Ukamtoa Danieli kutoka tundu la simba
Wewe huwainua na wanyonge siku zote
Watuepusha na hatari kila siku usifiwe
Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho was dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye Mwaminifu siku zote
Mimi naiweka imani yangu kwako Baba
Baba hata mama wanaweza kunikana
Marafiki nao wanaweza nigeuka
Mara kwa mara maadui wanizunguka
Nitaishi kwa ahadi yako Bwana huniachi, huniachi
Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi naiweka imani yangu kwako Baba
Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi naiweka imani yangu kwako baba
Written by: Reuben Kigame