Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Reuben Kigame
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sifa Voices
Songwriter
Lyrics
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi?
Ninajua ni kwake Bwana
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi?
Ninajua ni kwake Bwana
Anilinda ye halali
Ninajua hasinzii
Nitokapo niingiapo
Kweli najua, ninajua yuko nami
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi?
Ninajua ni kwake Bwana
Yeye ni bwana wa mabwana
Yeye mfalme wa wafalme
Mshauri wa ajabu
Kimbilio maishani, ah, nitainua
Nitainua macho yangu (nitazame)
Nitazame milimani (msaada yangu)
Msaada yangu watoka wapi? (Msaada wangu kweli, eh)
Ninajua ni kwake Bwana
Oh, nitainua (nitainua macho yangu) oh, nitazame milimani
(Nitazame milimani) oh, msaada wangu
Msaada wangu watoka wapi?
Oh, kweli najua (ninajua ni kwake bwana)
Oh, kweli najua (ninajua ni kwake bwana)
Oh, kweli najua (ninajua ni kwake bwana)
Oh, kweli najua (ninajua ni kwake bwana)
Written by: Reuben Kigame Na Sifa Voices


