Music Video

Mejja ft. Bro - Niko Poa (Barua) Official Video
Watch {trackName} music video by {artistName}

Lyrics

Huu ni okonkwo Tangu nikuje Nairobi Watu wangu wa Majengo sijawasahau Skia hii Bro najua nimekosa sana Ndio nimeandika hii barua mjue vile nafanya Hope huko Nyeri bado mnakazana Kabla niendelee salimia sana matha Najua unashindwa ni wapi nilikuwa nalala Clemo alinichukua akaniweka kama brother Akanipatia mavazi na kitu ya kumanga Tangu nitoe ngoma yangu ya ulevi Huku Nairobi nimejua watu wengi Wengine wazuri wengine hawanipendi Sijali Majengo ilinifunza kaa kijeshi Huku Calif mi huenda Jino Moja Ama base ya Mama Sidi kushikisha gomba Dough ikiingia ntakuja kuwaona Kina Omari kina Juma kina Zoa Wee wasalimie na uwaambie niko poa Ni nini nini ni niko poa Ni nini nini ni niko poa Mejja barua yako niliishika Sijawatupa jamaa Niko poa Ni nini nini ni niko poa Ni nini nini ni niko poa Mejja barua yako niliishika Sijawatupa jamaa Hope mko poa Mejja barua yako niliishika Lakini hukuniambia ka mihogo yangu ilifika Huku Nyeri nakuambia tu ni mashida Mpaka nimeanza kufikiria kuwapiga ngeta By the way Yule mama Mkamba Mama Kathanga siku hizi ashakuwa mwizi Kioko naye alivuta kiombitho alichizi Utatoa moshi Naye bro mkubwa anakazana na dini Sa Nairobi unataka nikuje lini? Siku moja hivi nishikishe miti Naskia Nairobi wanakuita Okwonkwo Lakini kumbuka mafans ndio masonko Matha aliniambia umtumie ganji Mi siku-get yangu naenda kunywa maji Lakini nakuombea endelea na kazi Ni nini nini ni niko poa Ni nini nini ni niko poa Mejja barua yako niliishika Sijawatupa jamaa Niko poa Ni nini nini ni niko poa Ni nini nini ni niko poa Mejja barua yako niliishika Sijawatupa jamaa Hope mko poa Hello Ni nani? Bro umesahau sauti yangu kiaje Pole Ulinunua simu bana Ata hauwezi nipigia mi nipate namba Aa zii hii ni simu ya jamii Ata sina credo itakatika saa hii Hello Ulipata zile dough nilituma on Sato Ehh wasee huniuliza utakuja lini Usiwasahau ata ka unakaa jiji Ukikaa jiji usisahau kijiji Nikikuja ntawanunulia maji Ma-Obama mtakunywa na majagi Ahh wazi ndio umeanza kuongea Wasee wa ghetto usisahau kuwaambia Kama Mungu aliniondolea mashida Hajawasahau siku yenu inafika Inshallah usibadilike sana Ata ka siku hizi naitwa Okonkwo Siwezi sahau nina damu ya uMajengo Wazi gotea watu wa Nairobi Wazi gotea Majengo ya Nyeri Simu itakatika ntakupigia jioni Ngoja ngoja Ni nini nini ni niko poa Ni nini nini ni niko poa Mejja barua yako niliishika Sijawatupa jamaa Niko poa Ni nini nini ni niko poa Ni nini nini ni niko poa Mejja barua yako niliishika Sijawatupa jamaa Hope mko poa Ni nini nini ni niko poa Ni nini nini ni niko poa Mejja barua yako niliishika Sijawatupa jamaa Niko poa Ni nini nini ni niko poa Ni nini nini ni niko poa Mejja barua yako niliishika Sijawatupa jamaa Hope mko poa
Writer(s): Brian Nguah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out