Lyrics

Moyo si ungebaki nao, nifanye kivuli Ruksa tu nichote nyayo, unifunge nitulie tuli (Ooh) Mwa fulani anauliza umenipa nini (Ooh) Kwa udi na ubani nimekula ya mimi Wanaonitamani wapo (aah) ila sijaona Nakupenda peke yako (maana) mapenzi nimekoma Kama kipofu mi sioni Uchungu wa mapenzi unakaba koo Usitukane mamba mtoni Umenipa yote naomba poo (baby) Ona sasa ona, ona sasa ona Ona sasa ona, ona sasa ona Ona sasa ona, ona sasa ona I swear believe me girl Umenikata kichwa nimebaki kiwiliwili Niongeze ulichonipa Kita kwa mshipa utibuwe makili kili Mpaka juu wananing'inia Ukirudi chini nadidimia Usinipe penzi makinikia Mi kwako nishaoza nishajifia Nimekuwa mlevi wa penzi lako ongeza nilewe Mwambie mganga wako kaniweza kwa kwe(li) Sioni maneno ya watu kwangu kama choo Mtoto kama chumvi jikoni Nilipokuonja nikaomba pooo Ona sasa ona, ona sasa ona Ona sasa ona, ona sasa ona Ona sasa ona, ona sasa ona I say babe simamia (kidede) Tena ng'ang'ania (kidede) Vyote nabugia (kidede) Huku naugulia (kidede) Nipe hata kimoja (kidede) Nisamimie ukucha (kidede) Mtamu kama embe za kibada (kidede) Mbuzi kafa kwa bucha (kidede)
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Lulu Abbas, Richard Martin Lusinga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out