Lyrics

Ye aah chinga aaah Moja nikusifie we kama katuni mwendo hauna kasoro Na kawimbo ni kuimbie sio kwa mafumbo Kweli mwali mwali nimefollow shida ya upendo Uko moyoni natamani nikuoneshe ila hauonekani We my sweet my hani bani nimependa kweli Sio ku having fun ouwoo o Oooh darling darling sweet sweet Ile mida flani ndani tukwichi kwichi Couple ishagonga na twitt twitt Haujaniova saizi yani fits fiti weee Kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo Jipinde kama unaji kunja mama una chutama kama unakuja kidogo Jipinde Aawe aaye awee baby jipinde Awee aaye aawe baby jipinde No no no olea houwo wowo eeeh Njoo nikupe kipande cha muwa awe Na ninavyo kupenda siunajuwa awe Vile huwezi kujishauwa kama kiuno kata Kama nyonga teuwa awe Mafuta nikupakaze kwa zako nywele Hadi lips nauli usije dengua binuka utamu nipate Kwenye pete ninase nikupe yote Sipimi na tuimbe doli doli doli kwa yako migandisho Maa kama mudoli doli doli doli maana Mapenzi popote hata ikiwa kwa poli eeh Darling darling sweet sweet ile mida flani Ndani tukwichi kwichi couple ishagonga na twitt twit Haujaniova saizi yani fiti fiti wee Kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo Jipinde kama unaji kunja mama una chutama kama unakuja kidogo Jipinde Aawe aaye awee baby jipinde Awee aaye aawe baby jipinde
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Mkombozi Bakari Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out