album cover
Msaidizi
12,036
Christian & Gospel
Msaidizi was released on January 20, 2014 by Gloria Muliro as a part of the album Msaidizi
album cover
Release DateJanuary 20, 2014
LabelGloria Muliro
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM96

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Gloria Muliro
Gloria Muliro
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gloria Muliro
Gloria Muliro
Composer

Lyrics

[Chorus]
Tuma Baba, tuma msaidizi
Tuma Yesu, tuma msaidizi
Tuma Baba, tuma msaidizi
Tuma Yesu, tuma msaidizi
[Verse 1]
Yesu uliahidi wanafunzi wako
Kwamba hautawaacha kama yatima
Bali utawatumia msaidizi
Awafunze, awape nguvu
Awafariji mioyo oh
[Verse 2]
Nami naja mbele zako oh
Baba niko mbele zako oh
Naomba unitumie msaidizi
Anifunze, anipe nguvu
Aniongoze kwa kazi yako
Baba tuma msaidizi
[Chorus]
Tuma msaidizi
Naomba Baba, nisaidie
Nisaidie, nisaidie, tuma msaidizi
Nataka nguvu mpya, tuma msaidizi
[Verse 3]
Kila usiku ninapoenda kulala nachukua bibilia
Nafungua bila mpango ukurasa wowote
Ninasoma mistari michache tu naanza sinzia
Nafunga Biblia naanza kuomba
[Verse 4]
Kinachofuata naamka asubuhi kusema amina
Baba nisaidie
Tuma nguvu zako, tuma uwezo wako
Tuma roho wako ndani yangu Baba
[Chorus]
Tuma msaidizi
Naomba tuma, tuma msaidizi
Nataka nguvu mpya, tuma msaidizi
Nataka nguvu ya kufanya kazi yako, tuma msaidizi
[Bridge]
Baba mimi siwezi chochote bila wewe
Naomba nguvu zako Baba aah
[Chorus]
Tuma msaidizi
Baba tuma, tuma msaidizi
Nakuomba Baba, tuma msaidizi
Tuma roho wako ndani yangu, tuma msaidizi
Anifunze, aniongoze, anitawale, tuma msaidizi
Mienenendo yangu aitawale, tuma msaidizi
Maombi yangu, kufunga kwangu aitawale, tuma msaidizi
Naomba, naomba, tuma msaidizi
[Chorus]
Tuma msaidizi
Roho wako anifunze neno, tuma msaidizi
Roho wako aombe ndani yangu, tuma msaidizi
Roho wako aombe ndani yangu, tuma msaidizi
Written by: Gloria Muliro
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...