Lyrics

It's time for Manzese music Kimamba on the beat Unajua mamy siko sawa Wananiona mi chawa Mama acha maseke mandi ndi ndi Nigger siwezi keep pretend ndi Usiwasikilize mapimbi mbi Mama acha kuchomeshaga maindi ndi Nipe vitu nipe vitu konki Nisha jizatiti kujikoki Mama acha maseke ma ndi ndi ndi Nigger siwezi keep pretend ndi Usiwasikilize mapimbi mbi Mama acha kuchomeshaga maindi ndi You are so beautiful You are my banana Nisipo kutiaga machoni Moyoni huwa kunawaka moto You are my banana My banana You are so beautiful You are my banana nana Huwa kunawaka moto Yooh mr buddah buddah Come babe girl Life guda guda Wala usijali wakuda kuda Kaa nao mbali Wakivuruga wanakimbilia mbali Wanachosubiri kutupiga deo Wanatamani tugombane kila leo Mama acha maseke ma ndi ndi ndi Nigger siwezi keep pretend ndi Usiwasikilize mapimbi mbi Mama acha kuchomeshaga maindi ndi ndi You are so beautiful You are my banana Nisipo kutiaga machoni Moyoni huwa kunawaka moto You are my banana My banana Huwa kunawaka moto You are so beautiful You are my banana Nisipo kutiaga machoni Moyoni huwa kunawaka moto You are my banana My banana Huwa kunawaka moto Mama acha maseke mandi ndi ndi ndi Kunawaka moto Usiwasikilize mapimbi mbi You are so beautiful You are my banana
Writer(s): Abdulaziz Abubakar Chande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out